Vazi La Diamond Platinumz Lililochangia Kupigwa Marufuku Video Ya Dully Sykes

Vazi La Diamond Platinumz Lililochangia Kupigwa Marufuku Video Ya Dully Sykes

Hapa ndio ninapowashangaa hawa Wabongo wanaojiita Basata Why wasipige makufuru kupigwa video za Mbele ambazo hawa vijana wetu mitaan ndio wanafanya......WTF...!!!!!????


Sent from my iPhone in Stralis Cabin.

Tatizo maumbo kaka,tacle la mzungu na tacle la Mtanzania ni vitu viwili tofauti.
Mzungu hata akae naked hapo nadhani mnara wako utakuwa unaloose signal kimtindo.Ila Mdada wa kibongo ama Afrika kwa ujumla,ukiona kocho tu lazima signal strength iongezeke na kuwa imara zaidi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi .

Hii ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani
wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii.Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.


Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?




Mkuu nawewe upo Kazini nini humu??Samahani kwa kuuliza
 
Iko poa tuu coz mazingira ya video yako kibeach zaidi labda tatizo jamaa dully naye kakikumbatua sana kile kitoto kakibinya sana ndio maana jamaa wakaona mmmh hatariiii
 
Tatizo maumbo kaka,tacle la mzungu na tacle la Mtanzania ni vitu viwili tofauti.
Mzungu hata akae naked hapo nadhani mnara wako utakuwa unaloose signal kimtindo.Ila Mdada wa kibongo ama Afrika kwa ujumla,ukiona kocho tu lazima signal strength iongezeke na kuwa imara zaidi.

"Nlikuwepo":bolt:

bado hujatushawishi, unamaaanisha black amerika wa kule are different from tanzanian women?
 
bado hujatushawishi, unamaaanisha black amerika wa kule are different from tanzanian women?
Absolutely, wale wamezoea kujiweka wazi all of their entire time. Sasa hata yale mambo yanakuwa yamezoeleka tofauti na hawa wa kwetu ambao ninadra sana kwa wao kufanya hivyo, na pindi inapotokea kunakuwa na tafrani kama hizi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
BASATA nitaandaa makala maalum Mungu akijalia kuwaunga mkono ktk juhudi hizi.Hatuwezi kuishi tu bila misingi na heshima ya tungo na staha za hawa wasanii wanaochukuliwa kama role model na watoto wetu.

Keep it up BASATA hatuwezi kuwa na taifa la kienyeji lisilo na :taratibu, maadali wala Mipaka, no. Dully rudia Video yako kimaadili zaidi period!
 
ilo shat la kawaida sana kuna nyimbo ka samaki, na mistari ya nyimbo ka ya mikasi na nyambizi zisifungiwe af iyo video ya kawaida sana ka ile video ya kolabo ya cpwaa na dull Sykes
ujumbe: BASATA HAWAJITAMBUI
 
kumbe hata hajaimba alienda tu kuwatukana mapolisi mwisho wa wimbo...........BASATA basi utoeni na huku maana kuufungia na kuacha YOUTUBE ni kuutangaza zaidi......
 
Back
Top Bottom