Nimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.
Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? Mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa.