Vazi la Kanzu linaruhusiwa bungeni kama sio siku ya Ijumaa?

Vazi la Kanzu linaruhusiwa bungeni kama sio siku ya Ijumaa?

Nimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.

Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa
ulitaka avae vazi gani kwan ambalo ungefurahi, na kwa nini useme vazi hilo ?
 
Mtoa mada next time soma dress code ya bunge hlf ulete hoja

Udini tu umewajaa ovyo kabisa
 
Duuu ana demu lile mbunge Segerea
Sio demu ni mke wake bona kamori .....bona yule mme wake kipindi analalamika enzi za magufuli kuwa kuna waziri ana tembea na mke wake ndo alikuwa bashe......

Yule mme wake akakubali yaishe akatoa talaka

Inaoneka bona alikuwa anampenda bashe sana maana hadi kukubali kuaachika

Sio hivyo wakafunga ndoa ya kimya kimya ya kiislam sasa nae bona akakubali kuwa hadi muislam sio mchezo

Watu wengi hawajui kuwa bona na mke halali kabisa wa bashe wa ndoa kabisa nahis walifunga mwaka jana kama sio mwaka juzi mwishoni
 
Ni vazi rasmi la kila siku?
Jerry slaa alitamba hapa karibuni na shati lake jeupe hakukua na kelele. Kanzu bungeni hata Lissu kavaa mara kibao tu. Na kimsingi lipo katika mavazi rasmi yanayoruhusiwa bungeni

Na la mwisho kanzu sio dini
 
Mwambie uarabuni hilo watu wanakaa nalo bar wanapiga urabu
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ni kweli linaruhusiwa ..... Tatizo la hawa ndugu zetu wanafanya mambo kutokana na wakati (zamu yetu) ..... Enzi za JPM hungeona mambo hayo yakitokea.
Si tatizo. Acha wavae kwani kanzu si vazi la kihuni.
 
Ni kweli linaruhusiwa ..... Tatizo la hawa ndugu zetu wanafanya mambo kutokana na wakati (zamu yetu) ..... Enzi za JPM hungeona mambo hayo yakitokea.
Haha acha watese ni zamu yao ...yetu inakuja soon
 
Mimi ningekua modes Nyuzi zote takataka kula kichwa shwaaa.Nikiona huelewi unakula ban mwezi
The legacy

Unafikiri kwanini wao hawawezi kufanya hivyo? Si kwamba hawawezi ila ni maisha yao yapo hapa

Hata wewe usingethubutu kufanya hivyo huenda kifo kingekukuta mapema kabla ya kustawi kwako.
 
Back
Top Bottom