Anajificha kwenye kivuli Cha udini aonekane sio muovu hapo ndipo waislamu mnapo fail.. udini udiniNimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.
Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa
Ni vazi rasmi la kila siku?Hiyo kanzi si vazi tu Kama mavazi mengine!!
Wabongo nyoso sana
Linaruhusiwa siku zote!.Nimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.
Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa
Kwani Lina siku zake??Ni vazi rasmi la kila siku?
Duuu ana demu lile mbunge SegereaNasikia jamaa hanaga mtoto, sijui ni kweli?
Maza si mswahili mwenzake, akivaa kanzu anaonekana mwema sn huku nyuma anaiba pesa za ummaNimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.
Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa
Vijana wa Sasa hivi ni jau Sana, mtu ana lazimisha kukuuliza Kama kanzu ni vazi la siku zote??Linaruhusiwa siku zote!.
P
huna kazi za kufanya mpaka unafuatilia hicho kikao cha nzi?Nimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.
Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa
Mimi ningekua modes Nyuzi zote takataka kula kichwa shwaaa.Nikiona huelewi unakula ban mweziVijana wa Sasa hivi ni jau Sana, mtu ana lazimisha kukuuliza Kama kanzu ni vazi la siku zote??
Ili agundue nini Sasa??, maana muhusika kavaa na kuli penda basi ni Safi.
Linaruhusiwa siku zote!.
P
๐๐๐ nzi wanajadili kutengeneza asali.huna kazi za kufanya mpaka unafuatilia hicho kikao cha nzi?
Anatafuta huruma Kwa ndugu katika imaniNimefuatilia Bunge wiki hii kuanzia jumatatu namuona Waziri wa KIlimo, Bashe akiwa anavalia Kanzu bungeni akijibu maswali ya wabunge, je kanzu inaruhusiwa kuvaliwa siku ambayo siyo ijumaa.
Kwanini Bashe avae kanzi wiki nzima anataka kufikisha ujumbe gani? au ndio anafanya ibada kwa ajili ya kesi zake za Sukari? mnaojua kanuni za bunge tusaidieni kuelewa
Huo ndio Ukweli wenyeweMaza si mswahili mwenzake, akivaa kanzu anaonekana mwema sn huku nyuma anaiba pesa za umma