Habari zenu wana jf,
Bila kuwachosha na salamu nyingi naomba niende moja kwa moja kwenye swala langu, Siku si nyingi zijazo nami naenda ukweni kwa utambulisho rasmi (Si kutoa mahari) kwa wenzetu hawa wachaga,
Linalonipa changamoto ni vazi gani litafaa huko maana nisije vaa kama mtu anayeenda toa mahari au harusini. Naweza piga suti kumbe dah si vazi rasmi kwa shughuli hiyo, naweza kwenda simple nkawa kituko au nkavaa kama naenda kwa send off party.
Wajuzi wa mambo ningependa ushauri wenu kwa hili hata kama ni kunielekeza kwa ma designer waliobobea. Angalizo ni utambulisho tu then mahali na vingine ni siku zitakazofata.