Vazi la kuvaa kwenye utambulisho ukweni

Vazi la kuvaa kwenye utambulisho ukweni

Mimi nlienda nimevaa tishet na jeans,mambo ya vazi rasmi zamani sana
 
Mimi nlienda nimevaa tishet na jeans,mambo ya vazi rasmi zamani sana

Kwani kila kabila wana utaratibu huu wa kujitambulisha kwanza kabla ya mahari? Mana mimi hili nmelisikia kwa wachaga wa machame tu. Mwenye uzoefu anijuze, mimi nilijua siku ya kupeleka barua ndiyo siku ya kujuana
 
Unaenda kujitambulisha kwa wachagga? Are you out of your mind?
I AM KIDDING MKUU!

Aisee naenda tena kwa wamachame japo sikuwahi hata siku moja kuwaza hili. My friend (in a Kenyan voice ) you never know where life will take you . Never say never as you will get/do that never
 
dbc3cbcb56e6f0e244e838799b7e35fa.jpg
 
Jf ni kisima cha maarifa, nashukuru sana wadau kwa mchango wenu kwani nimepata wapi pa kuanzia. Kamwe nami sitaacha kutoa mchango wangu kwa maswala ninayoyafahamu hasa upande wa software engineering kwa wadau wengine. Asanteni sana japo mjadala haujafungwa
 
Mkuu fafanua kidgo je ni sahihi mimi kwenda na hilo kreti la bia? Nisije bugi mambo huko na mke nkanyimwa

Mkuu kati ya vitu ambavyo vitakufanya upewe baraka uchagani hadi zi-runeth over basi ni bia mkuu. Just beer na wala sio ukatekumeni wako wala suti zako za kaunda hizo.
 
Aisee naenda tena kwa wamachame japo sikuwahi hata siku moja kuwaza hili. My friend (in a Kenyan voice ) you never know where life will take you . Never say never as you will get/do that never
Well said, I wish u all best!
 
Asanten sana kwa michango yenu wote, hatimaye leo nmekamilisha zoezi hilo. Nashukuru Mungu zoezi limeenda vizuri sana ngependa hata niwatumie picture
 
ujana raa sana mimi siku nnaenda kwa wakwe nlikuwa na ratiba flan kwanza usiku sikulala kabisa u-busy siku ya kwenda tulipanga tuvae kawaida na mshenga ha ile tunaenda kukutana mahali tuongozane aloo jamaa katupia suti mimi kawaida tu kule jamaa kushuka wakazan ndio yeye kumbe wapi mimi nimepark nashuka kawaida sana kashat kwanza sizan kalionekana nadhif kivile na kichwan niko na BLACK LEBO yaani nahis usingiz na kwa wakwe nlisinzia 🙂

yaan hata kwenye send on nlikuwa varu varu mnoooo
 
Back
Top Bottom