Ndio, ni kwa vile haionekani kwangu mkuu
hahahaaa!PPichani ni vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars litakalotumiwa huko Misri.
Vazi hili ni vazi ambalo tumezoea kuona likuvaliwa na Nabii Tito.
Dah.....Aisee! Kwa uhamasishaji huu naiona stars ikitinga fainali kama sio kulichukua kombe kabisa. go! go!
Sidai nale tukulu!Ebhnaa eehh
Aisee! Kwa uhamasishaji huu naiona stars ikitinga fainali kama sio kulichukua kombe kabisa. go! go!
Ingekua poa zaidi km ungeambatanisha na picha ya nabii Tito akiwa ktk hilo vazi lake.PPichani ni vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars litakalotumiwa huko Misri.
Vazi hili ni vazi ambalo tumezoea kuona likuvaliwa na Nabii Tito.
Wamchukue, na Gwajimakama vipi Nabii Tito na yeye akwee pipa akasangilie team yetu ya taifa
mzee wa style mojaWamchukue, na Gwajima
👍!Aisee! Kwa uhamasishaji huu naiona stars ikitinga fainali kama sio kulichukua kombe kabisa. go! go!
Pierre Konki sipati Picha, dah..... Wana dhambi hawa
Tuite ni gauni,blauzi,gagulo,kijora au nini?
Baibui
Mabaibui ya hariřiIla sheikh kuna mabaibui makali tena ya hela ndefu!
mkuu kwa gauni hizi hatutoboi😂Aisee! Kwa uhamasishaji huu naiona stars ikitinga fainali kama sio kulichukua kombe kabisa. go! go!
Au vyote tu kwa PamojaTuite ni gauni,blauzi,gagulo,kijora au nini?