Vazi la Nabii Tito ndio vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars Misri

Vazi la Nabii Tito ndio vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars Misri

Dah umetisha mkuuu
*Wabunifu wetu wa mavazi/wanamitindo mbali mbali, wanasubiri nini kutumia fursa hii kuitangaza Tanzania?

ivi huwa kuna pichu ilotengenezwa kwa kitambaa hicho, nahitaji ata pair mbili?
 
PPichani ni vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars litakalotumiwa huko Misri.
Vazi hili ni vazi ambalo tumezoea kuona likuvaliwa na Nabii Tito.
64378756_10157293664783620_3865110755514777600_n.jpg
hahahaaa!
 
PPichani ni vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars litakalotumiwa huko Misri.
Vazi hili ni vazi ambalo tumezoea kuona likuvaliwa na Nabii Tito.
64378756_10157293664783620_3865110755514777600_n.jpg
Ingekua poa zaidi km ungeambatanisha na picha ya nabii Tito akiwa ktk hilo vazi lake.
 
Bila shaka designer si mwingine bali ni mtoto pendwa Daud Albert Bashite
 
Back
Top Bottom