Vazi la ndani (kufuli)

Vazi la ndani (kufuli)

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Katika marafiki zangu wa kike asimia kubwa walipenda kuvaa kufuli nyeupe ktk majamboz. Je rangi ya kufuli huenda ikapelekea hisia kuwa kali ama kupungua ktk mapenzi?:violin:
 
eeh usafi wa mtu iyo kufuli inaweza kuwa nyeupe na ukurutu ikamaliza hamu yote
 
eeh usafi wa mtu iyo kufuli inaweza kuwa nyeupe na ukurutu ikamaliza hamu yote

mkuu achilia usafi! Umepata gf msafi sana je wewe rangi gani ya kufuli ingekuvutia na kukufanya uvutiwe naye saana wakati wa majamboz
 
Rangi nyekundu ndio inanivutia zaidi
 
mkuu achilia usafi! Umepata gf msafi sana je wewe rangi gani ya kufuli ingekuvutia na kukufanya uvutiwe naye saana wakati wa majamboz

iwe ya chekecheke red and white
 
chupi rangi yoyote ile provided inavutia macho au
 
JF..Mna vituko kweli lol!

Kuanzia uchaguzi, hadi rangi ya kufuli! Haya endeleeni..nilipita tu on my way to viwanja vya kampeni.
 
Back
Top Bottom