Vazi la spika wa bunge

Vazi la spika wa bunge

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,466
Reaction score
9,038
Habarini wakuu,

Jamani mimi si mjuzi sana wa mambo ya politiki na naomba mwenye kujua anisaidie juu ya vazi hili linalovaliwa na wakuu wa huu mhimili muhimu.

Huwa naona baada ya session moja kuisha kuna sehemu pale nyuma ya wanapokaa hawa wakuu ambapo hufungua kama kachumba/kabati na kulivua lile koti kubwa alafu wakakaa kama kamati.

Swali langu ni je, spika na naibu wake huwa wana share koti moja au kila mmoja analo la kwake.

Jamani msinicheke wala kunishangaa maana najaribu kuwaza sharing na maisha yetu huku uswahilini.

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom