Serikali imefanya jambo la Aibu sana"Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) ...
Dhalim alimtosa Adadi akaweka huyu pimbi anayekenua kenua tu
Sisi tulitakiwa tuendelee kutaliwaNimememsikia salma kikwete akichangia bungeni kuwa nguo anazovaa Rais Samia ndiyo ziwe vazi la Taifa. Yaani hata sisi wanaume tuvalishwe madera ,kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Na kibaya zaidi hata wabunge wanaume na kengele zao zinaning'inia walimshangilia sana. Dhalim alituweza kweli kutuachia wajinga mjengoni
Anataka kuwaweka watu wake kwenye hiyo tume nao wafaidike uwepo wake kwenye Serikali