Vazi la Taifa ni utapeli wa serikali?!!

CCM imekulogaje wewe ? Mbona unaonekana una akili !
 
Sipati picha Makonda na lile sambwanda lake atakavyoonekana akiwa ametinga dera lake kama alivyopendekeza salma kikwete.
Sasa wewe ni kiongozi wa kidini, akiva hivyo si utaasi uongozi wako.
 
Uzuri wa watanzania walivyowanafki
Huu upepo utapita tu...tuombe uhai
Tu mbeleni tutasikia mengi+madongo
Juu

Ova
 
Sasa wewe ni kiongozi wa kidini, akiva hivyo si utaasi uongozi wako.
Sisi wa dini za jadi hatuna mipaka mkuu wangu tofauti na hizo dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati zina unafiki mwingi sana
 
Ni kiasi gani kinatoka kwenye our coffers (hard earned cash)?

Awamu hii ni mwendo wa kubuni miradi juu ya miradi (yaani hapa ninaandika proposal ya mradi wa ubunifu wa mradi) Mambo ya utekelezaji sio issue
 
Akaja Mchengerwa na huo upuuzi tena.

Ukitaka vazi la TAIFA basi boresha ubunifu wa ndani na fungua milango ya uwekezaji kwenye fabric materials. Viongozi wavae mavao ya wabunifu wa ndani, hakika ipo siku tutavaa nguzo yetu pendwa
 
Mandela mwenyewe na mavazi yake maarufu, kamwe hatukusikia South africa wakisema walifanye vazi la taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…