Vazi La Utata La Lulu Michael Lililogeuka Gumzo Mitaani


akili zako na za hao American Top Model.....
 
nachek sanahiyo kitu, uliona ile last season adi kulikua na yule black model msagaji?
 
Hiyo nguo ina kitambaa cha ndani kinachoendana rangI na ngozi yake...
 
Huu mstari ungepitia hapo mbeleni ingekuwa poa ,killer huyu achana naye
 
Yaani ukimuona hatahumdhanii anaonekana mpole and very descent kumbe ana uwezo kuwashinda hata dada zake.
 
hapo ni mwendo wa kulipandisha gauni juu tu, tayari unakutana na ile mali ya kanumba ya zamani
 

Ndugu kuna utofauti kati ya tamaduni za kiafrika na marekani
 
yan hapo cha fasta tu, hakuna haja ya kuvuana
 
Rafiki yake Le Mutuz huyo. Age is just a number.
 
Wewe huko ni mira na tamaduni zao, je huku??

Yani, daaaaaaah kama mwanangu haraka sana akabadilo ubini
 
hapo ni mwendo wa kulipandisha gauni juu tu, tayari unakutana na ile mali ya kanumba ya zamani
Asee da nimepaheshimu kuna kila sababu vijana kula mayai wa kuku wa kienueji

Hivi ingekuwa kule mikoani wanapokula dona na maziwa kwa mboga iliyoungwa na siaga mixa kalanga mbichi, sijui nini kingetokea, nadhani kuna mutu angekula miaka 30_ na hivi jaji mpya kapatikana!![emoji134] [emoji134] [emoji134]

Nizeeke mapema mie Mungu unichujue make nakoelekea si kuzuri, niliyoyaona yananitosha kuwa shahidi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…