Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waziri wa afya wa Venezuela Carlos Alvarado amesema nchi yake itaanza majaribio ya hatua za mwisho ya mojawapo ya chanjo za corona zilizotengenezwa na mshirika wake Cuba na ambayo imeonesha mafanikio mazuri mpaka sasa.Chanjo hiyo inaitwa Abdala jina linalotokana na msahiri mwanamapinduzi wa nchi ya Cuba Jose Marti.
Baada ya hatua hiyo,waziri huyo amesema Venezuela itaanza kutengeneza dozi za kutosha za Abdala kuwachanja watu wa nchi hiyo wapatao milioni 4 na nusu.Hivi karibuni raisi Maduro wa nchi hiyo alikataa kupokea chanjo za AstraZeneca akisema si salama katika matumizi yake.