ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Kuna tarifa ya kwamba yule gwiji wa kundi la original comedy ambaye alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kushambuliwa kwa kichwa amelejea kimya kimya nchini kwa talifa ambazo nimezipata katika gazeti la amani.jaman vp afya yake mwenye kujua zaid atujuze hali ya Vengu.sorce gazeti la amani
Sasa wewe taarifa zaidi umeshindwa nini kusoma kwenye hilo gazeti la amani?
-ndugu yangu huku nilipo nipo kijijini hakuna cha magazeti redio lenyewe mpaka majila ya usiku so mi huku nautegemea mtandao huu kwa hbr za kina
Ulitaka arudi na matarumbeta na buruji la jeshi, au?!, wewe mbona ulienda huko uliko kimyakimya bila kuagwa na kwaya ya kijiji ama kupokelewa na kwaya ya kijiji cha mtakuja?!, karagabaho we!.
Kuna tarifa ya kwamba yule gwiji wa kundi la original comedy ambaye alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kushambuliwa kwa kichwa amelejea kimya kimya nchini kwa talifa ambazo nimezipata katika gazeti la amani.jaman vp afya yake mwenye kujua zaid atujuze hali ya Vengu.sorce gazeti la amani
Walitaka Vengu arud kwa vigeregere????kwani aliondoka kwa mbwembwe?????