Vengu anaumwa na ugonjwa gani?

Vengu anaumwa na ugonjwa gani?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
ni vema jamii kujua huyu jamaa yetu(kioo cha jamii) anasumbuliwa na nini kwa mda mrefu hivyo.
 
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba kuna dalili zote zinazoonesha na ambazo inasemekana labda ndio chanzo cha ugonjwa wake, ingawa bado kuna juhudi zinafanyika na vyanzo mbalimbali vya habari ili kujua ukweli wa taarifa hizo zisizo rasmi. mtu mmoja ambaye hakupenda jina lake litajwe hapa JF amedai kuwa eti Vengu anasumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari na Homa ya uti wa mgongo!
 
anaumwa ugonjwa kama wa zitoo kchwa kuuma sana kama kipanda uso vile vingine dk aseme
 
Anaumwa ugonjwa wakupenda chini!
 
pole sana vengu,jamani wana jf naomba munioneshe picha ya vengu ili niweze kumjua coz mm nilikuepo masomoni kwa takriban miaka nane.
 
pole sana vengu,jamani wana jf naomba munioneshe picha ya vengu ili niweze kumjua coz mm nilikuepo masomoni kwa takriban miaka nane.

ina maana ulikuwa nje yanchi? nchi gani ambayo kulikuwa hakuna internet ..au jela?
 
Back
Top Bottom