kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Siku hizi ukisikia mtu anaumwa na tatizo lake ni la kushambuliwa ubongo ni kumuomba sana Mungu HIV inahusika sana.
Kuna mahusiano gani kati ya HIV na ubongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi ukisikia mtu anaumwa na tatizo lake ni la kushambuliwa ubongo ni kumuomba sana Mungu HIV inahusika sana.
Kwani hujaona HIV kaiandika
Muulize Matola
Wewe ndio uliniuliza, it meanz ulimuelewa, au labda uniambie ww ulimuelewa vipi Matola? Maaana nilimuuliza yy, Ukajibu Mkuu.
Wewe ndio uliniuliza, it meanz ulimuelewa, au labda uniambie ww ulimuelewa vipi Matola? Maaana nilimuuliza yy, Ukajibu Mkuu.
Ni kawaida kusaidiana kujibu si unaona hajaja mpaka muda huu akija atakujibu
Hawa Original Comedy wanapendana sana ndo kitu kilichofanya wadumu wakiwa pamoja, jamaa pamoja na kukaa nje ya uwanja mda mrefu still wanamuhesabu kama mwenzao ndo maana hata kwenye hiyo ishu ya NSSF wamemuhusisha. Mungu saidia Vengu apone aungane na wenzake kupigana na maisha
Kwani hujaona HIV kaiandika
Mbona kama umepagawa na hiyo comment, mliwahi kushea mlupo?
Kuna mahusiano gani kati ya HIV na ubongo?
Nisaidie wewe.
Ana wasiwasi labda kuna chemba kapita na yeye
HIV ikiongelewa watu wagumu kuelewa lakinu kingekua kitu kingine angekua ashaelewa zamani
Na thread yenyewe kaikimbia kabisa, tunazika watu wengi kabla ya muda wao kwa sababu ya kukataa ukweli na kutokuanza dozi mapema kabla Cd4 hazijashuka.
Hhhhhhjaaaaaaaa maana ana wasiwasiii kweliii
Mbona kama umepagawa na hiyo comment, mliwahi kushea mlupo?
Sina wasi wasi... Na hata kama ingekuwa kweli nisha share nae si shaka... Maana kufa ni kufa tuu iwe ajali... Ngoma ama lolote unalowaza ww kichwani... My Point is, sio sawa kuzungumza jambo huna hakika nalo... Unaongea kwa wasi wasi... Inaonekana hujiamini na hujui unachoongea ni kweli ama story za kijiweni. Niliuliza ili nipate hakika kama kweli unakijua unachoongea?
No Offense! UKIMWI sio Ugonjwa wa kumpoint amtu Kidole.. Grow up.