Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Nov 21, 2014 #41 Matola said: Siku hizi ukisikia mtu anaumwa na tatizo lake ni la kushambuliwa ubongo ni kumuomba sana Mungu HIV inahusika sana. Click to expand... Muombe Mungu aku jalie afya njema na akuepushe na maradhi.
Matola said: Siku hizi ukisikia mtu anaumwa na tatizo lake ni la kushambuliwa ubongo ni kumuomba sana Mungu HIV inahusika sana. Click to expand... Muombe Mungu aku jalie afya njema na akuepushe na maradhi.
measkron JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,782 Reaction score 2,414 Nov 22, 2014 #42 kende said: Kuna mahusiano gani kati ya HIV na ubongo? Click to expand... Cryptococcal meningitis..
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Nov 22, 2014 #43 kende said: Kuna mahusiano gani kati ya HIV na ubongo? Click to expand... Hilo swali sijui kama ataweza kukujibu maana linahitaji elimu na akili amabayo yeye hana!
kende said: Kuna mahusiano gani kati ya HIV na ubongo? Click to expand... Hilo swali sijui kama ataweza kukujibu maana linahitaji elimu na akili amabayo yeye hana!
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Nov 22, 2014 #44 Matola said: Ulizia mahusiano ya TB na HIV utapata jibu. Click to expand... Nilijua tu utapata ukakasi wa kufafanua hoja uliyoiasisi. Poor mind!
Matola said: Ulizia mahusiano ya TB na HIV utapata jibu. Click to expand... Nilijua tu utapata ukakasi wa kufafanua hoja uliyoiasisi. Poor mind!