Vengu wa komedi origino atoka kifungoni...

Vengu wa komedi origino atoka kifungoni...

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
Baada ya kupigwa ban na viongozi wake kundini kutokana na ulevi wa kupindukia na utovu wa nidhani, hatimaye msanii Vengu kamaliza kifungochake na yupo on air tena. Kwa wale WAPENZI wake kaeni mkao wa KULA na nahisi kajirekebisha kosa lake na kuja mavitu mapya from bench.
Pichani ni msanii Vengu akiwa studio za Klauzifm.


DSC07009.JPG
 
Macho yake yanaonekana bado anapiga kilaji kama kawaida,ngoja tuone ana nini kipya.
 
Ana matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri

images
 
alishaanza kunenepa...sasa naona amepungua....kwa nini asipunguze pombe?
 
alishaanza kunenepa...sasa naona amepungua....kwa nini asipunguze pombe?

Preta unasema apunguze pombe ili atumie nini? Mi naona ni bora aendelee kutumia pombe kuliko kuanza kunya fanta!!

Si unajua starehe ya wanywa fanta hapa mjini?
 
Acid bana.....
ohoooooooo, hiyo fakt mazee... baada ya hapo anaishia:A S-cry: na kushangaashangaa :eek2::A S-confused1:tu na kujiona kama ...:baby:. mtaani watu wanam.... :grouphug: wengine wamebakia ulimi nje :A S-eek:

Mama weeee bora nikae :tape2:

But the truth ni kwamba pombe haiwezi na salama yake ni kukaa mbali nayo
 
sio huyo aliyeko nyuma yake.....halafu mbona wote kama......!!!!!!??

Preta huyo wa kati anajua kuegemea kuliko hata mama nanihiii wangu so ataniliwaza..... ila huyo wa nyuma haelewekieleweki isije ikawa tabu ndani
 
Back
Top Bottom