jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?
Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?
Kumbe alipata mkopo wakati anasoma chaurembo training collegeBongo kodi zimezidi bhana,naskia wema bado anamalizia deni la HESLB
hha haaa na alipomaliza chaurembo akaenda skendoz kolejiKumbe alipata mkopo wakati anasoma chaurembo training college
kweli kabisa kama ndo hiviHawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?
Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?