Vera na Huddah ni wajanja kuliko Wema Sepetu

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?

Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?
 
Kila mtu ana priority zake kwenye maisha.Wema yeye anapenda hivyo alivyo na huwa anasisitiza hilo kila wakati.😉
 
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?

Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?

Wenzake wanajielewa na wana malengo, huyu wa kwetu ni sifa za mitandaoni but soon yetu macho atabaki hana pa kushika
 
Bongo kodi zimezidi bhana,naskia wema bado anamalizia deni la HESLB
 
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?

Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?
kweli kabisa kama ndo hivi
 
Back
Top Bottom