Vera Sidika aelezea siri ya mahusiano yake na kaka wa kinaija

Vera ndio nani , anaishi wapi anafanya nini maishani
 
Kweli nimeamini EA hakuna mademu......twendeni sao paolo mazee.....mkaone maajabu......nilipita wakati flani......aisee kuna wanawake huko ...acheni mchezo nyinyi.....huyu amejaa kama bondia alafu ....mgumu ......mgumu mnamshangaa???
 
hahahaha eti amejaa kama bondia...
alafu huo mwili sio wa asili ni plastic surgery
 
Mweeeeeeeeeeeee sikuzote najua vera anatoka na bonge la bwana kumbe bwana mwenyewe ndio mbovu hivyo
 
Inaitaji moyo wa chuma kudate mtu kama Vera. Uko kwenye uhusiano na mtu ambae unajua leo anaenda kugegedwa.
 
Back
Top Bottom