Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
Mweeeh! Kwa majirani kumewaka
Sex drive,sex urge = libido.Hakuna mwanamke asiyependa sex bidada na ndio maana huwezi pata mwanamke aliye single mjini labda awe hajawahi kuguswa kabisa! Sex is getting to be a basic need baada ya mahitaji makuu matatu. Kitachofanya mtu aichukie sex ni maridhiano baina yake na mwenza, obvious kama huinjoy huwezi penda sex na huyo patner but sio kulichukia tendo lenyewe nakataa!
Obvious you will try to find another guy who knows to play with the keys kitu ambacho ni wazi! Hata wewe hapo huenda una mume ila huinjoy but unaweza kutana na mimi nikawa na ring bells hadi unashangaa tukawa tunafanya yetu kimya kimya. Narudia tena hamna mwanamke asiyependa sex akikutana na mtu anaejua kumfanya vitamu.
Ambacho angeweza kusema ni kwamba sex drive yake ipo chini which means hafanyi frequently ila sio hapendi sex maana anajua abc zote! Wenye high sex drive kwao sex ni kama salamu yani kila mnapokutana iwe kutoka job au after dinner dates ni mikasi tu! Kutembeleana over the weekdays ni mikasi tu na popote pale kwenye faragha lazma mvuane chupi!