Vera Sidika amvua nguo ex boyfriend wake

Bwana eeeeeeh pambana na hali yako, unaridhika vipi kama mtu anakuchafua tu
Inshort tunapotezeaga/kuvumilia tu sio kuridhika

Nyie wanawake mashetani, Yani mnasapotiana jinsi munavodhalilisha wanaume.
 
Huyo Jamaa tatizo lake alishindwa kumla mtandao pendwa. Kama jamaa angemla Amber Ruth asingefunua mdomo wake kabisa huyo Vera.
 
Natamani kuongeza likes tena. Imenibamba
 
Atapendaje sex wakati anaifanya kama biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…