Vera Sidika amvua nguo ex boyfriend wake

Vera Sidika amvua nguo ex boyfriend wake

Mwanamke ni kiumbe ambaye anaweza kukudharirisha with in minutes


Afu ukute uyo demu alikuwa ana enjoy adi anasifia ..leo kageuka kichwa mbuzi ..#angemuumberuty

Usibishane na mwanamke kamwe kuhusu mambo yenu ya faragha maana mwisho wa siku ataaminiwa yeye.

Utaambiwa una kibamia na kumprove wrong itabidi utoe mashine watu waione wakati huo yeye ukimwambia ana bwawa nani ataprove kitu invisible?
 
Kama kuna kitu jamii inatakiwa isikiamini kabisa, basi ni maneno ya watu walikuwa kwenye mahusiano halafu wakatengana, kila pande itajitahidi kuonyesha udhaifu wa pande nyingine ilimradi yeye aonekane ni innocent, wakati mwingine hufikia hatua ya kudhalilishana kwa lengo la kujifariji tu ata kama anachokisema ni uongo mtupu.
 
Haha
IMG_20181121_185245_455.jpeg
 
Back
Top Bottom