Ha ha!basi Mungu alivo waajabu
atazaa mtoto wa afya tele mzuri
sisi tusiojiharibu tunahangaika , hapo ndipo nnashangaaga
Yani kweli sijui huwa tatizo ni nini,basi Mungu alivo waajabu
atazaa mtoto wa afya tele mzuri
sisi tusiojiharibu tunahangaika , hapo ndipo nnashangaaga
acha tuu...Ha ha!
umesema kweli kabisa.Tena ataolewa vizuri tu na kupewa kila kitu.