Vera Sidika atamani kuzaa

Vera Sidika atamani kuzaa

Ha ha!
umesema kweli kabisa.Tena ataolewa vizuri tu na kupewa kila kitu.
acha tuu...
na atapiga baby shower ya utupu na atazaa bila operation..
sasa cc wastaarabu mikasi nyuzi tunatoa juma5....

Hapo ndipo nachokaga kabisa...
sema vera sidika ni queen of ambition
tofauti na mavazi/surgery zake
huyu dada wa kimombasa amejipanga kimaisha... anajielewa kichwani..

ana mjengo wake wa maana
ana migari inatisha kabisa
halafu sikiliza interview zake anaonekana mstaarabu sana na mwanammke mwenye malengo...
sio kama hawa wetu
 
Back
Top Bottom