Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Asante Sana Mkuu Kwa maneno Yako yenye hekima ndani yakeWatu wamekupuuza hadi umeamua kutoa maoni mwenyewe [emoji23]
Ujinga nao ni kipaji.
Hakuna analysis bila data ila pia si kila data ni analysis.Chama amecheza ligi moja na Saido , weka takwimu hapa tulinganishe
Profile ndio nikubwa but mchango wake ktk timu, then calculate muda alionao NBC na muda alionao Chama Nani amesaidia timu na kwa namna gani?Hakuna Mchezaji Mwenye Profile Kubwa Ligi Ya Tanzania Kuzidi Saido Ntibazonkiza "The Godfather"
kwani wewe nani anakujua? Unatafuta kiki, fanya lingineCHUKUA HII TOKA KWANGU Josh J.
imebaki historia tu kama ilivyo kwa Yanga kupigania uhuru wa nchi, ila kwa sasa ligi yake kubwa zaidi ni ligi ya Bara (sio kombe la Shirikisho Afrika)Hakuna Mchezaji Mwenye Profile Kubwa Ligi Ya Tanzania Kuzidi Saido Ntibazonkiza "The Godfather"