Verified comment: chukua hii toka kwangu "Clatous Chama hamuwezi Saido "

Verified comment: chukua hii toka kwangu "Clatous Chama hamuwezi Saido "

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
VERIFIED COMMENT

Ni wazi Clatous Chota Chama hamuwezi Saido Ntibazonkiza.

Kwa màana Ukilinganisha kuanzia Goal contributions huu msimu wa ligi.

Quality yao mpaka CV kubwa na Exposure ya soka la ushindani wanatofauti na Saido anamzidi kwa mbali Chama.

CHUKUA HII TOKA KWANGU Josh J.
 
.
Mjadala huu sio wangu peke yangu kusema bali kwa wadau wa soka
.
Hoja ziko 2
1- Currently on goals and assists in a league
2- General CV
.
Ila pia huu sio mjadala closed on just two arguments
.
Anyone can put his extra arguments na tukajadili.
.
 
Hakuna Mchezaji Mwenye Profile Kubwa Ligi Ya Tanzania Kuzidi Saido Ntibazonkiza "The Godfather"
imebaki historia tu kama ilivyo kwa Yanga kupigania uhuru wa nchi, ila kwa sasa ligi yake kubwa zaidi ni ligi ya Bara (sio kombe la Shirikisho Afrika)
 
ipo hivi, kwa sasa huwezi mlinganisha saido na chama kwenye viwango, chama yupo kwenye peak wakati saido amebakiza misimu yake 2 au 3 kabla ya kutundika rasmi daruga lake
 
Chama kaisaidia simba kuchukua vikombe 4 vya ligi kuu na kuipeleka simba mara 3 kwenye robo fainali ya caf then simba akatuingizia zaidi ya bilioni moja baada ya kumuuza berkane achana na mabilion aliotuingizia kutoka caf tulipofika robo final,,,,,,,,,, Halafu kirahiiiiiisi unamfananisha na yule mzee wenu aliyechangamka baada ya kuwa translater wa nabi na kumpa nafasi ya first eleven
 
Back
Top Bottom