Verified comment: chukua hii toka kwangu "Clatous Chama hamuwezi Saido "

Chama aliyeanza msimu January vs Saido aliyeanza mwezi wa Tisa/ kumi
 
Sema chama yuko slow sana pia vijana wanamkaba kirahis na kupora mipira .
Zaid jamaa aingeze fitness bado Ana umuhimu Sana pale simba
 
Hilo halihitaji mjadala,.. Iko wazi na ndio ukweli wenyewe.. Kumfananisha Saido na hao wachezaji wa ndondo ni makosa makubwa sana,.. Mchezaji aliyecheza ulaya kwa mafanikio makubwa, ukubwa wa club alizocheza na mashindano makubwa aliyocheza, huwezi fananisha na mchezaji aliyekosa nafasi ya kuchezea Barkene...
 
Tupe ushahidi wa mafanikio aliyoyapa huko ulaya huyo Babu Ntibazonkiza siyo kutuletea porojo za mitandaoni
 
Hapa umemaliza nadhan uzi ufungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…