Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe ushahidi wa mafanikio aliyoyapa huko ulaya huyo Babu Ntibazonkiza siyo kutuletea porojo za mitandaoniHilo halihitaji mjadala,.. Iko wazi na ndio ukweli wenyewe.. Kumfananisha Saido na hao wachezaji wa ndondo ni makosa makubwa sana,.. Mchezaji aliyecheza ulaya kwa mafanikio makubwa, ukubwa wa club alizocheza na mashindano makubwa aliyocheza, huwezi fananisha na mchezaji aliyekosa nafasi ya kuchezea Barkene...
Hapa umemaliza nadhan uzi ufungweChama kaisaidia simba kuchukua vikombe 4 vya ligi kuu na kuipeleka simba mara 3 kwenye robo fainali ya caf then simba akatuingizia zaidi ya bilioni moja baada ya kumuuza berkane achana na mabilion aliotuingizia kutoka caf tulipofika robo final,,,,,,,,,, Halafu kirahiiiiiisi unamfananisha na yule mzee wenu aliyechangamka baada ya kuwa translater wa nabi na kumpa nafasi ya first eleven