VERIFIED COMMENT: Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia

VERIFIED COMMENT: Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia

Angalia hata idadi ya magoli waliyofungwa timu anayochezea huyo beki na ulinganishe baina ya timu zao mbili utajua ni wapi pana ukuta mahiri.
We jamaa vipi, mmeleta takwimu za mchezaji dhidi ya mchezaji halafu wewe unaleta utetezi wa timu nzima. Kwa hiyo kila beki wa yanga ni bora kuliko mabeki wa simba sababu yanga imefungwa magoli machache?
 
Kwenye ligi yenye timu zenye ubora upi?.
show me the way anapambania takwimu michuano ya kimaitafa huko nyinyi bado mnamawazo ya ligu ya meee.[emoji243]
 
Beki unampima kwa kihusiia na magoli?

Mfumo unamruhusu Djuma kuingia ndani zaidi.
 
Beki bora hapimwi kwa kufunga magoli kama kigezo kikuu kikiwa hicho basi Pique ndiye beki bora wa kati kwa misimu takribani 6 hivi maana ndiye beki mwenye mabao mengi mara nyingi katika misimu tofautitofauti.
 
Back
Top Bottom