Verified couples....

akishapata hiyo kitu ni moja kwa moja amekuwa mtoto wa nyumbani
ndiyo alama ya kuutambulisha ukoo wetu,
so tujipange tuitengeneze, Arushaone atasimamia hiyo kazi
mimi nitakuwa mtendaji mkuu.

najua sana kuhusu matumizi yake..
hahahaha....
 
Last edited by a moderator:
kumpoteza sio rahisi ila hizi lugha hizi nahisi kutetwa alafu ni mtu na ***** mmmh

hivi hujuagi za mama wakwe? Na bado mawifi hawajafika! Hapo shemejio tu anavyokuponda yaani mpaka nakuonea huruma ndugu yangu ngoja nikuPM utumbo wote waliouongea hapo.......! Wabaya sana hawa watu ila shukuru mungu mumeo anamsimamo na anakupenda la sivyo yangekuwa majanga
 
hivyo vyote vipo
wewe andaa mkwanja tu.
tena mwambie kabisa mkeo kwenye pm huko
naona ana wasi wasi sana na mimi
mwambie mimi ndo mama mkubwa asiwe na hofu
itapendeza sana mma ngyanze ipfula kinungu..
 

haina haja ya Kum PM zungumzeni tu kwa lugha ya kidaktari hakuna atakayejua...
 
Lady doctor usimdanganye mwenzio
mawifi wote wanaishi ulaya
hapa atakuwa na mume wake tu
halafu unajua kuwa mumeo Slave anataka kunifanya niwe mke mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
hivyo vyote vipo
wewe andaa mkwanja tu.
tena mwambie kabisa mkeo kwenye pm huko
naona ana wasi wasi sana na mimi
mwambie mimi ndo mama mkubwa asiwe na hofu

anayeanza kumtia wasiwasi sasa ni huyu Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
hapana me huwa ni mkweli sikuzote ukitaka badilisheni lugha mwenzenu aelewi sasa nyie mnamuweka kati na kumzunguka ndio nini sasa?

kimakonde ni kibantu kama lugha nyingine ati..wewe mtafsirie tu kuna maneno mengine hayatamkiki kwa kiswahili...
 

nyumba yangu haina nafasi ya mawifi ni mi na mume wangu vyumba vimejaa,wakileta mguu tu nawaozesha wakatulie makwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…