Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Huna ajira na vikao vya wanaume huhudhurii? Unakuwaga wapi ? Vikao vyote toka miaka 20 nyuma vinasisitiza kukaa mbali sana na single mothers, ila wewe unajipeleka kichwa kichwa 😂😂 tena mwenye watoto wawili 😂😂😂😂

Kwa niaba ya wanaume wote, tunasema unastahili maumivu, ni uzembe wako wa kutoshiriki vikao vya mwaka na nusu mwaka
Nimekosa Mimi, nimekosa Mimi, nimekosa sana ndiomaana nawaomba mniwie radhi lakini kwasasa nitakua mwalimu mzuri.
 
Acha ujinga basi usiwe na mwanamke mwenye mtoto kama wewe hauna mtoto sasa unalia nini wakati we mwenyewe ndio umekosea
 
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.

Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.

Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Lea watoto acha mapepe
 
Back
Top Bottom