Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 358
- 831
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nimejiajili kwenye kilimo Cha mpunga kwahiyo Hela ya kuendeshea maisha hainipigi chenga. Kwahiyo Kama unahisi chai njoo dm nikupe namba ya mwanamke mwenzio umuulize alichokifanya.Sasa Mtu jobless Hela za kufanya yote hayo ulitoa wapi? sikukuu yote hii unataka kutupa chai badala ya bia!
Ujauzito ni WA mwezi wa sita ho Mimi kulala nae ilikua April na aliporudi nikalala nae august kwahiyo kuna tofauti ya mwezi na nusuZinagoma kwa mwezi au wiki ngap?
Nimekosa Mimi, nimekosa Mimi, nimekosa sana ndiomaana nawaomba mniwie radhi lakini kwasasa nitakua mwalimu mzuri.Huna ajira na vikao vya wanaume huhudhurii? Unakuwaga wapi ? Vikao vyote toka miaka 20 nyuma vinasisitiza kukaa mbali sana na single mothers, ila wewe unajipeleka kichwa kichwa 😂😂 tena mwenye watoto wawili 😂😂😂😂
Kwa niaba ya wanaume wote, tunasema unastahili maumivu, ni uzembe wako wa kutoshiriki vikao vya mwaka na nusu mwaka
Edit hiyo ID yako ndio chanzo Cha Veronica kukutendaMkuu nimejiajili kwenye kilimo Cha mpunga kwahiyo Hela ya kuendeshea maisha hainipigi chenga. Kwahiyo Kama unahisi chai njoo dm nikupe namba ya mwanamke mwenzio umuulize alichokifanya.
Hapana kwakweli nimefika mwisho. Ingawa ana Hali ngumu lakini hapana kwakweli ataniuaIkawaje bado unamlea au
Kama kuna kaukweli Fulani hiviEdit hiyo ID yako ndio chanzo Cha Veronica kukutenda
Ipige chini,kwenye ulimwengu wa kiroho jina linaweza kukufungaKama kuna kaukweli Fulani hivi
Kama kuna kaukweli Fulani hivi
Mshua wako alinena kweli ni ujinga wangu tu wa kuamini kuwa kwakua amepitia changamoto basi angetulia Kwangumshua wangu alinambia kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kukaa na mke wa mtu😂😂
Kweli kabisa mkuu nimejifunza.Wanasema Wema Usizidi Uwezo.
Lakini wewe pia mwakajuzi ulininyanyasa Sana kisa Sina Mali. Habari za sumbawanga lakiniIpige chini,kwenye ulimwengu wa kiroho jina linaweza kukufunga
Thawabu ya bibi yake wa thawabu au thawabu yenyewe. Nimekoma Mimi hunishawishi.Ukioa single maza mwenye watoto unapata thawabu.
Acha ujinga basi usiwe na mwanamke mwenye mtoto kama wewe hauna mtoto sasa unalia nini wakati we mwenyewe ndio umekosea
Lea watoto acha mapepeHuyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Sumbawanga?kwani nilikwamwambia Niko Swax🙆?Lakini wewe pia mwakajuzi ulininyanyasa Sana kisa Sina Mali. Habari za sumbawanga lakini
Bro ilikua ni kuoana nae kabisa na ndiomaana Kila kitu kilikua Kwangu.Wewe ulimpendea Mbunye na Mbunye ulikula kwani mlikubalina umeinunua yote?
Nisamehe Sana mkuu sirudii?Lea watoto acha mapepe
Sumbawanga?kwani nilikwamwambia Niko Swax🙆?