Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

Nji hii ngumu sana.
 
Hata kama haukuwepo huo ukomo! Je, haimtoshi kwake kutumia busara kukaa pembeni na kuwaachia wengine; baada ya kuhudumu kwenye hilo Shirikisho kwa vipindi viwili?

Kubali tu huyo jamaa ni mroho wa madaraka. Hakuna sababu nyingine.
Pale Karume kuna pesa sana, Magufuli aliwabana wakakonda... alivyoondoka mashavu yakarudi.
 
Hajaisoma historia. Kuna aliyetamka kutawala milele, kilichomkuta hata muda wake wa kawaida hakuumaliza.
 
Sasa ulitaka awalazimishe wakae zaidi?
Yeye hata afanye nini hizo term anazo taka kujiongeza hata zimaliza football ina fitina kuliko hata siasa ataundiwa zengwe atatoka nduki mifano tunayo mingi
1. Seff Blatter
2. Ahmed Ahmad
3. Former UEFA president nmesahau jinae,
4. Jamal Mlinzi
Etoo nae mambo yamechemka
 
Hivi unawajua wajumbe wa Mkutano wa Uchaguzi wanatokana na nini? Unachowaza wewe kinaweza kikawa tofauti kabisa na watakachofanya wajumbe. Watu wapo kimaslahi zaidi, na wajumbe wanahitaji mtu atakayewawekea mazingira mazuri ya ulaji. Mbaya zaidi ukute mtu wanayemtaka pia amefanya vizuri kwenye takwimu za soka, kama alivyofanya Karia
 
Potelea pote, mi Karia namkubali kuliko marais wengine wa TFF waliopita,jamaa kafanya mabadiliko makubwa hadi ligi imepaa Africa na kuwa kwenye ligi 5 bora
 
Wajumbe ndio wanaweka mtu na kumtoa hao wote nliokuatajia wametolewa na watu wao refer Jamal Malinzi
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…