Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Nji hii ngumu sana.Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba!
Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile amendment hauhesabiki[emoji1787][emoji56]
Huu ni udeckteta, uchu wa madaraka, haikubaliki!