Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

Karia ataondoka tu tena akiongeza tamaa anaitafuta jela mpira una fitna sana kuliko hata Siasa za Dodoma..
Kashajiongezea mda wa kugombea means na mazingira ya kushinda ameshayatengeza, huku kwenye mpira usiombe uchaguz, ni uhun zaidi ya huu wa taifa tulioususa[emoji1787]
 
Wajumbe ndio wanaweka mtu na kumtoa hao wote nliokuatajia wametolewa na watu wao refer Jamal Malinzi
Malinzi hakutolewa na wajumbe, aliwekewa zengwe kwa sababu ya kisiasa. Kumbuka, alimtembelea Lowassa ofisini kwake siku kadhaa kabla ya mchujo wa CCM, amabpo kwake yeye aliiona fursa kumtembelea 'Rais ajaye'. Baada ya Jiwe kukamata usukani, alianza kuangalia wote waliokuwa wanajipendekeza kwa 'hasimu' wake

Soma pia:
 
Kilicho mtoa Malinzi hakiwezi fanana na kitakacho mtoa Karia ila kaa ujue atang'olewa kwa nguvu juzi tu hapo Kenya Rais wa FKF kafurushwa kumbuka wanaingia madarakani kwa mizingwe hata kutoka ni style hio hio
 
Tunajua mifumo ya uchaguzi huru ameshaivuruga, wajumbe wa uchuguzi ameshajaza watu wake, na akikuona tu threat kwenye uchaguzi anakuchinjilia mbali, mfano Shafii dauda na baadhi wengi wameshatupiliwa nje ya mfumo!
Shafii dauda ni tapeli tu
 
Hakuna mtu aliyejifanya mjanja kuliko Ndolanga lakini aliondoka,Malinzi alijaribu lakini kilichomkuta nina uhakika hatamani kugombea tena Tff hata ungemwambia atakuwa mgombea pekee.
 
Watanzania tumekuwa wajinga Sana Sasa... Kama tumeshindwa kuitoa CCM madarakani... Naona musomari anapima upepo... Tutamtoa akikataa tutaandamana na kuchoma mali zake.
 
Hivi huyu jamaa hawezi kukamatwa na kuwekwa ndani, tumeshamchoka tayari jamani
 
Na jamaa akifanikiwa kwenye hili jaribio lake ataifia pale hataondoka
Kila term yake ya mwisho atakua anafanya mabadiliko ili aendelee kubaki

Kila mtu amemchoka naamini hili jaribio lake halitafanikiwa
Serikali mkamateni tu huyu mtu, hana faida yeyote kwenye mpira wa Tanzania
 
Huyu karia kajichanganya football haina demokrasia sio siasa hii ,angalia FIFA,UEFA,CAF hakuna ujinga wa ukomo wa viongozi ni kuongoza tu mpaka ushindwe wakutoe
 
Watanzania tumekuwa wajinga Sana Sasa... Kama tumeshindwa kuitoa CCM madarakani... Naona musomari anapima upepo... Tutamtoa akikataa tutaandamana na kuchoma mali zake.
kabisa mkuu...hili zee la hovyo sana, liachie madaraka tupate mawazo mapya!
 
Na jamaa akifanikiwa kwenye hili jaribio lake ataifia pale hataondoka
Kila term yake ya mwisho atakua anafanya mabadiliko ili aendelee kubaki

Kila mtu amemchoka naamini hili jaribio lake halitafanikiwa
Lazima kivanyike kitu, tukipuuza hili itakuwa precedent, kila atakaingia pale atatoka kwa mbinde yan
 
Hivi huyu jamaa hawezi kukamatwa na kuwekwa ndani, tumeshamchoka tayari jamani
Tatizo kama wewe sio mjumbe wa mkutano wa uchaguzi wa TFF, hata kama wewe umemchoka haiathiri chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…