Kashajiongezea mda wa kugombea means na mazingira ya kushinda ameshayatengeza, huku kwenye mpira usiombe uchaguz, ni uhun zaidi ya huu wa taifa tulioususa[emoji1787]
Malinzi hakutolewa na wajumbe, aliwekewa zengwe kwa sababu ya kisiasa. Kumbuka, alimtembelea Lowassa ofisini kwake siku kadhaa kabla ya mchujo wa CCM, amabpo kwake yeye aliiona fursa kumtembelea 'Rais ajaye'. Baada ya Jiwe kukamata usukani, alianza kuangalia wote waliokuwa wanajipendekeza kwa 'hasimu' wake
Maswali: 1. Kwanini Malinzi amueleze Lowasa mipango ya TFF Lowasa na si Waziri wa Michezo? 2. Kuna uwezekano Malinzi ameona mbali kule October, 2015? 3. Malinzi haogopi nguvu ya Nape na Mangula? 4. Baada ya kumweleza mikakati, Je, Lowasa alimuahidi nini Malinzi?

Kilicho mtoa Malinzi hakiwezi fanana na kitakacho mtoa Karia ila kaa ujue atang'olewa kwa nguvu juzi tu hapo Kenya Rais wa FKF kafurushwa kumbuka wanaingia madarakani kwa mizingwe hata kutoka ni style hio hio
Tunajua mifumo ya uchaguzi huru ameshaivuruga, wajumbe wa uchuguzi ameshajaza watu wake, na akikuona tu threat kwenye uchaguzi anakuchinjilia mbali, mfano Shafii dauda na baadhi wengi wameshatupiliwa nje ya mfumo!
Hakuna mtu aliyejifanya mjanja kuliko Ndolanga lakini aliondoka,Malinzi alijaribu lakini kilichomkuta nina uhakika hatamani kugombea tena Tff hata ungemwambia atakuwa mgombea pekee.
Huyu karia kajichanganya football haina demokrasia sio siasa hii ,angalia FIFA,UEFA,CAF hakuna ujinga wa ukomo wa viongozi ni kuongoza tu mpaka ushindwe wakutoe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.