Very Interesting Question

Very Interesting Question

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Would you burn all your academic certifacates for 50milion dollars?
 
Attachments

  • 1478753318797.jpg
    1478753318797.jpg
    17.9 KB · Views: 54
Binafsi nimelipenda jibu la huyo jamaa kwenye picha.
 
Hahahaaaaaa.....hilo jibu la huyo mkaka tuu, mi hoiiii....! Huyo mkaka sio mtu wa mchezo-mchezo
 
Mi ningechoma baraza la mitihani, na waziri wa elimu ningemshtaki kwa Magufuli. Umesema 50m dollars?? Mimi 1m dollars tu ningeishia nasare skuli mwaka wa kwanza

Hahaha. Kumbe thamani yako ni hiyo?
 
Hahahaaaaaa.....hilo jibu la huyo mkaka tuu, mi hoiiii....! Huyo mkaka sio mtu wa mchezo-mchezo

Jamaa anachoma hadi wizara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wakiongeza dau huenda akachoma hadi ikulu.
 
Choma tu kwani kuna ma prof kibao watakufa bila kuipata
 
Would you burn all your academic certifacates for 50milion dollars?
I'll burn the certificates, I will burn all the books in my country, delete the database associated with education and delete the the question itself. Am sure all things will start afresh. Ova..
 
I'll burn the certificates, I will burn all the books in my country, delete the database associated with education and delete the the question itself. Am sure all things will start afresh. Ova..

Huachi hata vumbi,kweli wewe ni dustless.
 
Unasema dollar? Nying sana iyo iyo ela ifanya TZS (madafu) yaani sh. 50M tu nachona.
Shamba nahitaji 15M tu kua billionaire kwa miaka 2.[emoji35]
 
Back
Top Bottom