Sasa ndo udambu gani huu umetuwekea?????? Ungepeleka huko kiss fm labda ungeeleweka.
Mambo yangu na Eliza yalikuwa poa sana online.
Kipindi hicho smart phones sidhani kama zilikuwepo so mambo yetu yote yaliishia kwenye voda kwa voda, mawasiliano yetu utadhani ni watu tuliojuana muda mrefu. Kuna kosa nilifanya, that's why naandika hapa kumwomba msamaha
Sasa si mrudi mlikokutania ama mksombane msamaha huko au mfowadie huko kwenye kilongalonga.
hey, umekuwaje tena wewe? hujaelewa nini? sina namba yake.
hey, umekuwaje tena wewe? hujaelewa nini? sina namba yake.
mwambie urani asikuzingue, kama yeye amekutosa, sisi wengine tunaweza kusuuza rungu vilevile kwako tena vizuri kuliko yeye. ninakupm plsUmepotelea wapi tena? Au uko na Nkurunziza nini!
mwambie urani asikuzingue, kama yeye amekutosa, sisi wengine tunaweza kusuuza rungu vilevile kwako tena vizuri kuliko yeye. ninakupm pls
poa. mambo vipi lakini, mzima weweShika adabu yako!
Shika adabu yako!