kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
we inawezekana umeelewa zaidi.Kwanini ulifanya hivyo maana ninashangaa na naikosa sababu ya wewe kumdanganya hivyo,unajua uongo katika mapenz huwa unauma sanasana ingawa imekuwa muda mrefu mm kama mwanamke nimesikitishwa sana na tabia yako hiyo
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
kuna sehemu jamaa kasema walikuwa wapenzi??