Very sorry Eliza, I lied to you huu ndio ukweli

Very sorry Eliza, I lied to you huu ndio ukweli

Kwanini ulifanya hivyo maana ninashangaa na naikosa sababu ya wewe kumdanganya hivyo,unajua uongo katika mapenz huwa unauma sanasana ingawa imekuwa muda mrefu mm kama mwanamke nimesikitishwa sana na tabia yako hiyo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
we inawezekana umeelewa zaidi.
kuna sehemu jamaa kasema walikuwa wapenzi??
 
Duh Mleta uzi, mwenzetu namba umeaza kuzisoma siku nyingi sana! Haya karibu tena kwenye show za Juma Pombe Maharage
 
we inawezekana umeelewa zaidi.
kuna sehemu jamaa kasema walikuwa wapenzi??
Yap kasema walikuwa wapenz na walikuwa wanatumia muda mwingi sana kuongea nimewaza kwa sauti nikahis kuwa labda jamaa alipomuona hakuvutiwa nae kwa kila kitu,sababu huwez kumpoint mtu mwingine ilihali wewe mhusika upo,kiufupi huyu jamaa alikosea sana.
 
ah! sawa
 
Back
Top Bottom