Mi nilikuwa simfahamu huyu Advocate kabla, lakini hii obituary imenitoa machozi. Pole sana Albert. Najua umeumia sana. Mungu akutie faraja. Tunamwomba Mungu amsamehe Nyaga dhambi zake na kumpa pumziko la amani milele. Amina.
he was killed!Too touching!I think it is GOD who picked him for HIMSELF WHILE STILL GOOD!RIP NYAGA!
Pole Albert,na wengine wengi kwenye firm yenu.....niliwahi kusema huku siku moja,ukipata mafanikio kama aliyoyapata Nyaga,au wengine wengi,Arusha na Moshi si mahali salama pa kuishi...Kuna chuki kuu kwa watu wenye mafanikio,na conspiracy na michezo ya ajabu ajabu,rejea kesi ya Nyari,angalia yaliyomtokea D wa mererani,angalia kuhusu Askofu,muangalie Lema wa Njake!
Sasa haya ya Nyaga,na Mwale......ni muendelezo tu...Arusha and Moshi is not Safe for Billionaires!
Hii yaweza kuwa kweli ngoja na mie nikifikisha tu bilioni kadhaa nihame huku Arachuga hapako salama kwa Madon
hongera mkuuArusha nimeshuhudia watu wangu wa karibu wakidanja kwa jali za gari while they are very young mkuu, nimeshahama kitambo wala sitaki kupasikia, hali huko ni mbaya
kuna kipindi nilikimbia moshi nilikua na RB zaidi ya saba! nikaona hata! hapa wataniua tu!Arusha nimeshuhudia watu wangu wa karibu wakidanja kwa jali za gari while they are very young mkuu, nimeshahama kitambo wala sitaki kupasikia, hali huko ni mbaya
dah HIVI NYAGA ALIUKANA URAIA WA TANZANIA EL TORO?
How old was Nyaga? Because many here at JF and across the media are saying he was very young and that is all. Please El Toro let us know.Aisee nimejua mengi zaidi niliyokuwa nayajua