BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Mi nilikuwa simfahamu huyu Advocate kabla, lakini hii obituary imenitoa machozi. Pole sana Albert. Najua umeumia sana. Mungu akutie faraja. Tunamwomba Mungu amsamehe Nyaga dhambi zake na kumpa pumziko la amani milele. Amina.
unafiki huu siupendi si useme umehuzunika umetoka machzi usiemjua au na wewe wale walwale landlord kaondoka