PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mwenyekiti wa UVCCM Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam tawi maalum la DUCE, Verynice Lema amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Udiwani kata ya Miburani Temeke Dar es Salaam.
Aidha, amesema kuwa amejitafakari na kuona ni wakati sahihi kuomba kuteuliwa kugombea katika kata hiyo ambayo amekuwa sehemu ya Jamii ya Kata hiyo.
Aidha, amesema kuwa amejitafakari na kuona ni wakati sahihi kuomba kuteuliwa kugombea katika kata hiyo ambayo amekuwa sehemu ya Jamii ya Kata hiyo.