Haina kazi, ile mifupa ni vestige iliyobaki katika evolution yake ya kutoka kutembea ardhini hadi kuogelea baharini, imechukua millions of years, na bado after several milion years hata hiyo mifupa itakuja kupotea kabisa, if you don't use it, lose it, hiyo ndio guiding principle ya evolution.kwa hiyo haina kazi inamuumiza tu eenh
Appendix zinakatwa bila kuleta athari yoyote ya kiutendaji au kiafya katika mwili wa binadamu. Leo tukikukata hata kidole.kimoja tu unachotumia kuandikia, utaweza kuandika?Hata miguu na mikono hutokea ikakatwa na madaktari, does it mean haina kazi ?
Mazingira ndio hu-determine kiwango cha kila kitu, kuna mazingira yanafanya viumbe wengine wawe na greater physical prowess kuliko wengine, mfano kwanini binadamu hajaweza kuwa na mbio kama za duma hadi leo? Au kwanini binadamu hajaweza kuwa na shingo ndefu kama ya twiga hadi leo?Jibunu kwa facts sio kumbeza mtoa mada.
Mimi sikushangai hasa ukiwa unaongea ki sayansi ila ukija upande wa uumbaji wa Mungu nadhani facts ni nyingi kuliko huko kwenye sayansi. Jambo moja tuu ujiulize katika evolution zote hizo kwanini wanyama hajawa rational compared na binadamu mpka leo?
Sijasema hatujaumbwa katika context hiyo, nimesema hatujaumbwa kuwa kama tulivyo leo na muonekano wetu wa leo at one go kama inavyolazimishwa na baadhi ya wachangiaji humu, na nimeshaweka bayana katika majibu ya nyuma hapo juu,ni kwamba most likely kilichoumbwa kilikuwa ni single celled organism na kikapitia hizo adaptive changes hadi kufikia idadi ya viumbe na kwa aina yao vilivyopo leo.Kwa mtu ambaye hajui biology broh ni ngumu kukuelewa
Ila usiseme hatujaumbwa sasa chief hapo mdo unakosea
Tuliumbwa na tukapitia hii adaption
Mimi naelewa na nakubali ulichoandika
Kweli coccxy hata hatuitumii ila sasa sio kwamba hatukuumbwa mzee usiseme hivyo
Anhaa hapo kisayansi upo sahihi kabisaSijasema hatujaumbwa katika context hiyo, nimesema hatujaumbwa kuwa kama tulivyo leo na muonekano wetu wa leo at one go kama inavyolazimishwa na baadhi ya wachangiaji humu, na nimeshaweka bayana katika majibu ya nyuma hapo juu,ni kwamba most likely kilichoumbwa kilikuwa ni single celled organism na kikapitia hizo adaptive changes hadi kufikia idadi ya viumbe na kwa aina yao vilivyopo leo.
Nimeshaeleza hapo juu kwamba, viashiria vinaonyesha kwaba hapo mwanzo kiliumbwa kiumbe ambacho ni mono-cellular, na ndio kime-evolve kuwa viumbe vya aina mbali mbali vilivyopo leoKwahiyo binadamu alievolve tokea wapi? Je Ni kwenye samaki,nyani,bio-matters ?
Wala sio lengo hilo, jaribu kuangalia tena mada kwa mtazamo mwingine.Watu wakoshiba wanawaza kukufuru mungu...aliyewaumba
Sitaki kuamini hivyo sababu Ndiyo uwezo wetu WA kufikiri umeishia mahali fulani hivi, Sababu uni-cellular to multi-cellular Ni vitu tunasoma Tu Na mechanism zake zote tunaona kwenye vitabu.Nimeshaeleza hapo juu kwamba, viashiria vinaonyesha kwaba hapo mwanzo kiliumbwa kiumbe ambacho ni mono-cellular, na ndio kime-evolve kuwa viumbe vya aina mbali mbali vilivyopo leo
Si nimeshakwambia Mungu aliumba a unicellular organism, akaevolve na kuwa vile tulivyo leo kwa aina na idadi mbalimbali za viumbe? Mfano mdogo tu, binadamu alipoondoka barani Afrika kwenye jua na akarnda ulaya kwenye baridi na jua hafifu, melanin kwenye ngozi inayozuia jua lisituumize ikaanza kupungua, na hatimae ikapungua sana kiasi wakawa na rangi tofauti na waAfrika waliotuacha huku. Kwahiyo mabadiliko hayo yalitokea kadri mazingira yalivyobadilika, ila imechukua maelfu kama sio malaki ya miakaSitaki kuamini hivyo sababu Ndiyo uwezo wetu WA kufikiri umeishia mahali fulani hivi, Sababu uni-cellular to multi-cellular Ni vitu tunasoma Tu Na mechanism zake zote tunaona kwenye vitabu.
Mimi Mwenyewe kwa akili ya kawaida mwanadamu ataevolve wapi toka kwenye mchanganyiko WA dry matters+rain=living organisms.
Hivi hii evolution inainvolve Genotype +Phenotype Na muda WA kuevolve Ni constant kwa viumbe wote ili tuanze kutrace Kati ya extinction Na distinction ya organisms kipi kina uzito.Si nimeshakwambia Mungu aliumba a unicellular organism, akaevolve na kuwa vile tulivyo leo kwa aina na idadi mbalimbali za viumbe? Mfano mdogo tu, binadamu alipoondoka barani Afrika kwenye jua na akarnda ulaya kwenye baridi na jua hafifu, melanin kwenye ngozi inayozuia jua lisituumize ikaanza kupungua, na hatimae ikapungua sana kiasi wakawa na rangi tofauti na waAfrika waliotuacha huku. Kwahiyo mabadiliko hayo yalitokea kadri mazingira yalivyobadilika, ila imechukua maelfu kama sio malaki ya miaka
So strange kwamba unaamini theories ziloletwa na binaadamu zinavyoeleza namna walivyoanzia, yaani bnd wenyewe wanajielezea namna walivyoanza na unawaamini, unapinga maneno ya Mungu ambaye ndie aliyewaanzisha binaadamu? Nani ana haki ya kuaminiwa kati ya aliyeumba na aliyeumbwa. Ni sawa na kuiamini computer ijieleze namna ilivyotengenezwa kinyume na maelezo ya aliyeitengeneza!!!Appendix zinakatwa bila kuleta athari yoyote ya kiutendaji au kiafya katika mwili wa binadamu. Leo tukikukata hata kidole.kimoja tu unachotumia kuandikia, utaweza kuandika?
Basis ya permanent phenotypic changes ni Genotypic adaption. Temporary phenotypic adaptions huwa haziwi included genome ndani ya muda mfupi, ili phenotypic adaptions ziweze kuwa included kwenye genes na hivyo kuwa permanent inahitaji muda mrefu ranging from malaki to millions of yearsHivi hii evolution inainvolve Genotype +Phenotype Na muda WA kuevolve Ni constant kwa viumbe wote ili tuanze kutrace Kati ya extinction Na distinction ya organisms kipi kina uzito.
Siamini binadamu, najadili, natafakri na kuconclude rationally and objectively hoja na ushahidi unaoletwa mbele yangu, ahsante.So strange kwamba unaamini theories ziloletwa na binaadamu zinavyoeleza namna walivyoanzia, yaani bnd wenyewe wanajielezea namna walivyoanza na unawaamini, unapinga maneno ya Mungu ambaye ndie aliyewaanzisha binaadamu? Nani ana haki ya kuaminiwa kati ya aliyeumba na aliyeumbwa. Ni sawa na kuiamini computer ijieleze namna ilivyotengenezwa kinyume na maelezo ya aliyeitengeneza!!!
Ila hizo hoja unazojadili zimetolewa na binaadamu, na zinazosema binaadamu kaumbwa zimeletwa na Mungu mwenyewe.Siamini binadamu, najadili, natafakri na kuconclude rationally and objectively hoja na ushahidi unaoletwa mbele yangu, ahsante.
Nami nakuunga mkono, kiumbe kilicho bring about viumbe vyote duniani, kiliumbwa na Mungu.Ila hizo hoja unazojadili zimetolewa na binaadamu, na zinazosema binaadamu kaumbwa zimeletwa na Mungu mwenyewe.