'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Sasa kwa maana hiyo hii discussion ipo nullified, sababu Ni miaka mingapi tokea dunia imetokea? Kama Ni laki au million je Kuna kiumbe chochote kimetokea au kuonyesha dalili(practically) au Ndiyo hivi literally tunaamini kila kitu.
 
sasa lini sisi hivyo vi mkia vilifanya kazi ? au ndo vinaota mdogo mdogo miaka ijayo vifanye kazi ?
Evolution inaendelea, ila observable changes huchukua millions of years, binadamu gani ataishi hiyo miaka yote ili aweze ku-observe hizo changes?
 
hahahahahhaha mzee no vivid evidence kuhusu hizo theory.
 
jamaa unajibu ki siasa mnoo mzee hakuna jibu lenye nyama hata kidogo, majibu yako yooote flat screen wakati watu wanataka majibu msambwanda
 
Dah huyo kiumbe anafananaje
 
Sasa kwa maana hiyo hii discussion ipo nullified, sababu Ni miaka mingapi tokea dunia imetokea? Kama Ni laki au million je Kuna kiumbe chochote kimetokea au kuonyesha dalili(practically) au Ndiyo hivi literally tunaamini kila kitu.
Dunia ina miaka bilioni 4 plus, enough time for evolution to have taken place
 
Utumbo wa kiwango cha nya...

Evolution does not come from a vacuum..!

If we evolved, it means we were developed/changed from a certain type to what we are , this doesn’t debunk creation at all..
 
Utumbo wa kiwango cha nya...

Evolution does not come from a vacuum..!

If we evolved, it means we were developed/changed from a certain type to what we are , this doesn’t debunk creation at all..
Nimeshaeleza kwamba tulievolve toka kiumbe cha kwanza ambacho ni single celled hadi kuwa idadi na aina za viumbe vya sasa, nacho kiliumbwa
 
Aah aah dah yaani kitu kilichokuchanganya hata sijui nakuelekeza vipi ila ni kidogo tu.

Tafsiri ya miguu unaichukulia personal saana kwamba ni kitu kilicho chini ya kiuno inakuwa miwili na kazi yake ni kutembelea..

Kwa iyo ukiona kiumbe hakina kiuno ila mifupa ya miguu uniona unaanza pagawa.

Ghorofa ya kwako kwa nchwa ni kichuguu... Miguu ya nyangumi sio kama yako , na mkia wa kwako wewe sio kama wa ngedere na ndio maana maaana mishipa yoote ipo ikiwa na maana viungo vyoote vipo ila ni katika muonekano ambao bado wewe haujaukariri.

Cha msingi we relax tafuta pesa... Maisha magumu saana huku mtaani kama hauna kitu.. Kuwa mpole mengine yakupite tu kamanda
 
hata kama babu yake ni sokwe ajibu sokwe alitokea wapi ??? mbona leo sokwe hawageuki binadamu ?
Kama ingekuwa ni kweli wanabadilika basi tungeona viumbe waliobadilika hata kwa25% na sokwe wengine wangeshaanza kuongea!

Zamani nyoka alikuwa na miguu kabla hajampa jongoo! Teehh...
 
Kama ingekuwa ni kweli wanabadilika basi tungeona viumbe waliobadilika hata kwa25% na sokwe wengine wangeshaanza kuongea!

Zamani nyoka alikuwa na miguu kabla hajampa jongoo! Teehh...
Permanent observable changes katika evolution huchukua malaki hadi millions of years, mfano wa hivi karibuni ni sub species ya binadamu weupe iliyotoka kwa binadamu mweusi, baada ya wao kuondoka Afrika kwenye jua kali na kwenda kwenye mabara ya baridi ile melanin nyeusi kwenye ngozi inayotukinga na jua ikaanza kupungua kwenye ngozi zao kwa sababu zilikuwa hazihitajiki sana kwenye nchi za baridi na jua hafifu, eventually imepungua kiasi wakawa weupe, na hii ni katika miaka elfu kadhaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…