A
Anonymous
Guest
Kutoka GEITA-Tanzania, napenda kuiomba mamlaka ya ufundi Stadi Veta kurekebisha mifumo yao ya matokeo wanachelewesha mno, yani toka mwezi December 2025, tulifanya Mitihani ya CBA na NABE mpaka sasa March 2026 matokeo bado.
Wanatupa wakati mgumu fursa zinatupita sababu ya kukosa vyeti pia kama mtu ka-supp anashindwa kufanya usajili mapema wa kurudia mtihani.
Soma Majibu kutoka VETA: VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva.