Mkuu, kwani project kwa wanafunzi/wanachuo si sehemu ya mafunzo? Mimi naona hakuna walichopoteza, bali wamejifunza kwa vitendo. Hii hutumiwa hata mashuleni na walimu wajanja wanaotaka wanafunzi wao wasome, huwaambia wanafunzi kuwa wiki ijayo kutakuwa na mtihanj. Wanafunzi wanasoma kwa bidii halafu siku ya mtihani mwalimu anawaambia mtihani umeaahirishwa mpaka itakapotangazwa tena! Sasa hapo utasema mwanafunzi amepoteza?Habari za jioni wakuu,
Hii kitu inaudhi sanaaa, yaani wanafunzi wametengeneza project zao kwa gharama halafu mnakuja ghafla tu eti mwaka huu hakutakua na project . Hivi mlikuwa wapi muda woote huo mpaka wanafunzi wametumia gharama zao ndio mnakuja kusitisha hivyo
Hivi mnakurupukaga tu, Haya sasa wametumia muda mwingi kutengeneza project mngesema mapema muda ule wautumie kusoma haya mambo ya kukurupukaga mnafeli sana wizara ya elimu mno.
Project zao hua zinaasesiwa na watu wanaosimamia mitihani baada ya kumaliza mtihani lakini mwaka huu wameambiwa kutakua na interview sijui isiyohusisha project hapo ndo tatizo kwamba hawajui wataulizwa nnMkuu, kwani project kwa wanafunzi/wanachuo si sehemu ya mafunzo? Mimi naona hakuna walichopoteza, bali wamejifunza kwa vitendo. Hii hutumiwa hata mashuleni na walimu wajanja wanaotaka wanafunzi wao wasome, huwaambia wanafunzi kuwa wiki ijayo kutakuwa na mtihanj. Wanafunzi wanasoma kwa bidii halafu siku ya mtihani mwalimu anawaambia mtihani umeaahirishwa mpaka itakapotangazwa tena! Sasa hapo utasema mwanafunzi amepo
Huyu mama wa naona kama ameshazeeka akapumzike tu wizara aiche kwa wengineSasa Mtoa maamuzi anakula ,anaishi atakavyo kwani kuna ishu